Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara ya nafaka ni nzuri maana ushindani ni mdogo na pia kadri utakavyokuwa unadeliver mzigo mzuri ndivyo unazidi kupanua wigo wa kupata wateja zaidi. Changamoto kuu utakazokutana nazo ni smtms kukosa mzigo make nafaka huwa ni kwa msimu hivyo utalazimika uwe na bulkload store kuepuka kukosa wateja incase watahitaji mzigo nawe kukutwa huna hifadhi. Pia itakulazimu usitulie home bali ni mchakamchaka kwenda mbele kusaka bidhaa! ila kiujumla nafaka inalipa sana na faida yake inaonekana directly tofauti na duka la spareparts. Pia biashara za maduka ni pasua kichwa hasa unapojikuta inapigwa doro kuanzia asbh mpaka jioni na smtms siku tatu no mteja kuja kwa duka!!! lazima uapply kizizi aisee!! halafu ushindani na kuigana kwingi kunachelewesha kupanuka kwa biashara!!
Ni hayo tu mdau nayoweza kukushauri.
biashara ya chakula ina baraka.habari zenu wanajamii,mimi ni mjasiriamali nina miliki baadhi za biashara hapa dar es salaam nahitaji kutanua biashara kwa kuanzisha biashara kati ya kuuza nafaka ama duka la spare za gari mpya(sio used) ushauri tafadhari