Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Habari ya muda huu wana jukwaa natumai mmeamka salama, sina mengi ya kuandika, ni kama kichwa cha habari kinavyosomeka.
Naombeni ushauri wakuu nina malengo ya kufungua duka la dawa Dar es salam, hivyo naombeni ushauri ni kiasi gani cha pesa nahitaji kuwa nayo ili niweze kufungua duka la dawa muhimu na pia napenda kufahamu ni mambo gani ya msingi nahitaji kuvi consider ili nianzishe duka la dawa.
Na kwa Dar es salam ni maeneo gani yanaweza kunipa matokeo chanya kwa asilimia kubwa...ni hayo tu.
Natanguliza shukrani.