Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Mkuu umeandika kwa uchungu sanaa ila naomb nikwambie mimi sijasoma pharmaceutical science ila na mpango wa kuajiri aliyesoma pharmacyUmesoma pharmaceutical sciences??
Au unataka kuua watu.
Mkuu shuleni huwa mnasomea ujinga? Unawezaje kuandika pharmaceutical vizuri namna hiyo halafu ushindwe kujua common issues kwamba kuna mmiliki na kuna mtoa huduma.Umesoma pharmaceutical sciences??
Au unataka kuua watu.
Nashukuru kwa mwondoa tongotongoMkuu shuleni huwa mnasomea ujinga? Unawezaje kuandika pharmaceutical vizuri namna hiyo halafu ushindwe kujua common issues kwamba kuna mmiliki na kuna mtoa huduma.
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako ila naomba kuuliza mfano nikiwa na 1.5m au 1m siwezi nikaanzisha hy project yaani hy 1.5m iwe ni kwaajili ya dawa tu out of vitu vingineMtaji andaa m3-5m ,pia inabid uende halmashauri husika unayotaka kufungua duka husika I'll uonane na mfamasia wa wilaya akuonyeshe location zinazofaa kufungua biashara yako katika wilaya hiyo ,then utafute frame yenye ukubwa was mita 4 kwa 4 au 4metres by 4metres ambayo utaweka partition ya store za dawa yenye 2.5m au iwe inakaribiana na vipimo ivyo
Uwe na dawa za kuuza, pili sehemu ya kuuzia na mwisho uwe na muuzajialiethibitishwa na bodi ya wafamasia na mwisho leseni ya halmashauri/manispaa/ jiji.Habari ya muda huu wana jukwaa natumai mmeamka salama, sina mengi ya kuandika, ni kama kichwa cha habari kinavyosomeka.
Naombeni ushauri wakuu nina malengo ya kufungua duka la dawa Dar es salam, hivyo naombeni ushauri ni kiasi gani cha pesa nahitaji kuwa nayo ili niweze kufungua duka la dawa muhimu na pia napenda kufahamu ni mambo gani ya msingi nahitaji kuvi consider ili nianzishe duka la dawa.
Na kwa Dar es salam ni maeneo gani yanaweza kunipa matokeo chanya kwa asilimia kubwa...ni hayo tu.
Natanguliza shukrani.
Nashukuru mkuu kwa mwongozoUwe na dawa za kuuza, pili sehemu ya kuuzia na mwisho uwe na muuzajialiethibitishwa na bodi ya wafamasia na mwisho leseni ya halmashauri/manispaa/ jiji.
Somo hili limekuwa likinifikilisha, je? Mtoa huduma wa duka la dawa anatakiwa kuwa na sofa gani elimuHabari ya muda huu wana jukwaa natumai mmeamka salama, sina mengi ya kuandika, ni kama kichwa cha habari kinavyosomeka.
Naombeni ushauri wakuu nina malengo ya kufungua duka la dawa Dar es salam, hivyo naombeni ushauri ni kiasi gani cha pesa nahitaji kuwa nayo ili niweze kufungua duka la dawa muhimu na pia napenda kufahamu ni mambo gani ya msingi nahitaji kuvi consider ili nianzishe duka la dawa.
Na kwa Dar es salam ni maeneo gani yanaweza kunipa matokeo chanya kwa asilimia kubwa...ni hayo tu.
Natanguliza shukrani.
Awe amesoma kozi ya pharmacy na awe na cheti halaliSomo hili limekuwa likinifikilisha, je? Mtoa huduma wa duka la dawa anatakiwa kuwa na sofa gani elimu
Nashukuru kwa ushauri wako mkuuUnaweza ila dawa ata za 500000 tu zinatosha kuanzia nyingine utumie kutengeneza chumba Cha frame na feni