gileun
Member
- Nov 8, 2017
- 85
- 74
Habari wakuu!
Nahitaji kufungua duka la vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam, sasa naomba kwa anaefahamu jinsi ya kuwapata mawakala wanaosambaza vifaa vya ujenzi baada ya kuagiza toka nje ya Tanzania anisaidie namna ya kuwapata.
Au hata kama kuna namna ya kuwa naagiza vifaa hivyo toka nje ya nchi, naomba msaada namna ya kufanya na processes zote muhimu.
Natanguliza Shukurani zangu.