Nadhani baada ya utekelezaji wa hivi vyote kinachofata ni location and customer careUnataka kuwa main agent au muuzaji wa rejareja?
Kama unataka kuwa wakala mkubwa nenda straight viwandani, ongea nao ili mkubaliane bei.
Kama unataka kuwa muuzaji wa rejareja Ila mtaji ni mkubwa nenda viwandani pia.
Kama unataka kuwa muuzaji wa rejareja na mtaji ni wa kawaida nenda kwa mawakala wakubwa.
Mawakala ni kama Kamaka, FMJ(wahenga), Afrizania(ABM), Shananga na wengine wengi.
Viwanda ni kama Twiga cement, Sitta steel, Kiboko, Lodhia na wengine wengi.
Mtaji wa wakala sio lelemama.
Ahsante sana mkuuUnataka kuwa main agent au muuzaji wa rejareja?
Kama unataka kuwa wakala mkubwa nenda straight viwandani, ongea nao ili mkubaliane bei.
Kama unataka kuwa muuzaji wa rejareja Ila mtaji ni mkubwa nenda viwandani pia.
Kama unataka kuwa muuzaji wa rejareja na mtaji ni wa kawaida nenda kwa mawakala wakubwa.
Mawakala ni kama Kamaka, FMJ(wahenga), Afrizania(ABM), Shananga na wengine wengi.
Viwanda ni kama Twiga cement, Sitta steel, Kiboko, Lodhia na wengine wengi.
Mtaji wa wakala sio lelemama.
Mtaji ni around 5-8 millions
Haha, sawa sawa mkuu. Ahsante sana kwa ushauriNi ndogo sanaa.
Ila anzia kariakoo kuna maduka ya hardware mtaa wa Swahili na kule gerezani kwa wasomali.
Hyo hata viwandani hauingii.
Ila kwa kuanzia inatosha.
Kaka hardware sio mchezo.
Ukiona umeenda duka la hardware limejaza mpe heshima yake mmiliki
Haha, sawa sawa mkuu. Ahsante sana kwa ushauri
Duh! Anyway pambana kiongozi...Mtaji ni around 5-8 millions
Eneo muhimu sana.Kikubwa usimamizi uwe mzuri na eneo liwe zuri.