mwanaume wa kweli
Member
- Dec 31, 2012
- 23
- 19
Nafikiria kufungua kampuni ila sijui taratibu za kufanya, naamini JamiiForums kuna kila aina ya watu naomba kama yupo anaewajua wale wanaosaidia kufungua makampuni anipe mawasiliano yao tafadhali, Asante.