Unajua CPU ni nini?mwezi hii ya mbeleni nipo kwenye mpango wa kufungua movies store hapa dar es salaam. ila napitia changamoto moja ni CPU gani na yenye sifa gani inayoweza kunifaa. kwakazi hiyo maana siitaji kununua cpu itayo nipa ugumu wakufanya kazi. naitaji niiweekee 80TB na ram 12 GB machanga complex imezungua sana. kutafuta cpu dume la kazi ila kila nikijaribu kupioint. roho inakataa so kama kunamtaaramu anaejua au anafanya hii kazi anaweza kunishaurii nitashukuru
Je, we unajua CPU ni nini?Unajua CPU ni nini?
Toa jibu kama unaloJe we unajua CPU ni nini?
Ubongo wa computerToa jibu kama unalo
Uko sahihi.Ubongo wa computer
Asante sana mkuuUshauri wangu ukipata Core i5 8th gen itakua njema sana au Ryzen 3 3rd gen, Jitahidi upate na ka GPU kokote mfano AMD RX 550 itakusaidia ukiwa unafanya convertion ya formats.
kimtaa tunajuaa maana yake sio kisomi hata wewe unajua namaanisha niniUnajua CPU ni nini?
Imaitwa computer tower ila kitaa tunaitaa cpu tunaelewana tuuUko sahihi.
Nimemuuliza kwa sababu kuna watu wanaamini CPU ni ile case ya nje, (desktop computer).
Asante sana mkuu nitafanya hivyoNB: Kama kuna mtu unamuamini na unahisi anaju hizo mambo siku ya kununua bora uende nae usije kupigwa za uso dukani (kuna mchezo wa kuuza refurbished kompyuta dukani kwa bei ya mashine mpya)
kila la kheri
Ngoja nimuite mtaalamu atakupa na range ya Bei.Hizo ndokazi sasa bila hizo uwezi kutoboa
😅😅Imaitwa computer tower ila kitaa tunaitaa cpu tunaelewana tuu
Unahitaji workstation mkuu,Mwezi hii ya mbeleni nipo kwenye mpango wa kufungua movies store hapa Dar es Salaam.
Napitia changamoto moja ni CPU gani na yenye sifa gani inayoweza kunifaa. kwakazi hiyo maana siitaji kununua cpu itayo nipa ugumu wakufanya kazi.
Nahitaji niiweekee 80TB na ram 12 GB machanga complex imezungua sana.
Kutafuta cpu dume la kazi ila kila nikijaribu kupioint, roho inakataa so kama kuna mtaalamu anaejua au anafanya hii kazi anaweza kunishauri nitashukuru
Asanye sana mkuu nimekuelewa sana hii imenisaidia sanaUnahitaji workstation mkuu,
-Kwa Dell tafuta Desktop za Precision
-Kwa HP ziwe zinazoanzia na Z kama Z2 G4, Z440, Z420 etc
-kwa Lenovo zinazoanzia na Thinkstation
-zipo nyengine za Fujitsu na wengineo.
Kwanini workstation? Sababu zina Sata Ports nyingi, itakusaidia kuweka hdd nyingi kwa mpigo na pia ku upgrade vitu kama Gpu, network cards na vyenginevyo ni rahisi. Pia zina space kubwa ndani.
Kuhusu specification angalia budget yako, huwa Gen ya 3 ama ya 4 unapata chini ya laki 2, kuna Dell Precision T1700 ama T1650 nyingi kwa hio bei.
Gen ya 5, 6, 7 hazina issue sana bei kubwa na hakuna perfomance yoyote ya maana utakayo gain.
Kama budget inafika laki 2 na nusu kupanda consider Gen ya 8 hata kama ni i3.
Kama una utundu kidogo wa Computer huwa sisi wazoefu tunanunua machine za Pentium/i3 around 100-130K ya gen husika then unanunua cpu ya i7 separate na ku upgrade, hapo unapata machine nzuri kwa bei rahisi. i7 hizo za gen ya 3 ama ya 4 haizidi 70K sometime hadi 50K unapata.
Kama una convert hizo movie ama una wateja wanaotaka huduma hizo kuna Gpu za Quadro. Quadro nzuri kama P620, K2200 etc unaweza kuzipata 100K ama chini ya hapo.
Unahitaji workstation mkuu,

Kama una convert hizo movie ama una wateja wanaotaka huduma hizo kuna Gpu za Quadro. Quadro nzuri kama P620, K2200 etc unaweza kuzipata 100K ama chini ya ha
Unahitaji workstation mkuu,
-Kwa Dell tafuta Desktop za Precision
-Kwa HP ziwe zinazoanzia na Z kama Z2 G4, Z440, Z420 etc
-kwa Lenovo zinazoanzia na Thinkstation
-zipo nyengine za Fujitsu na wengineo.
Kwanini workstation? Sababu zina Sata Ports nyingi, itakusaidia kuweka hdd nyingi kwa mpigo na pia ku upgrade vitu kama Gpu, network cards na vyenginevyo ni rahisi. Pia zina space kubwa ndani.
Kuhusu specification angalia budget yako, huwa Gen ya 3 ama ya 4 unapata chini ya laki 2, kuna Dell Precision T1700 ama T1650 nyingi kwa hio bei.
Gen ya 5, 6, 7 hazina issue sana bei kubwa na hakuna perfomance yoyote ya maana utakayo gain.
Kama budget inafika laki 2 na nusu kupanda consider Gen ya 8 hata kama ni i3.
Kama una utundu kidogo wa Computer huwa sisi wazoefu tunanunua machine za Pentium/i3 around 100-130K ya gen husika then unanunua cpu ya i7 separate na ku upgrade, hapo unapata machine nzuri kwa bei rahisi. i7 hizo za gen ya 3 ama ya 4 haizidi 70K sometime hadi 50K unapata.
Kama una convert hizo movie ama una wateja wanaotaka huduma hizo kuna Gpu za Quadro. Quadro nzuri kama P620, K2200 etc unaweza kuzipata 100K ama chini ya hapo.
Chief-mkwawa nimejaribu kupita majimbo yote huko machinga kariakoo ila kila nikigusa ni 380000 Z400 Z800 600000 hakuna chini ya 300000 kabisa HP Zs G4 bei 1750000 bro kwahizo bei ulizo sema naweza kupata wapi au unaweza kunusaidia chiefUnahitaji workstation mkuu,
-Kwa Dell tafuta Desktop za Precision
-Kwa HP ziwe zinazoanzia na Z kama Z2 G4, Z440, Z420 etc
-kwa Lenovo zinazoanzia na Thinkstation
-zipo nyengine za Fujitsu na wengineo.
Kwanini workstation? Sababu zina Sata Ports nyingi, itakusaidia kuweka hdd nyingi kwa mpigo na pia ku upgrade vitu kama Gpu, network cards na vyenginevyo ni rahisi. Pia zina space kubwa ndani.
Kuhusu specification angalia budget yako, huwa Gen ya 3 ama ya 4 unapata chini ya laki 2, kuna Dell Precision T1700 ama T1650 nyingi kwa hio bei.
Gen ya 5, 6, 7 hazina issue sana bei kubwa na hakuna perfomance yoyote ya maana utakayo gain.
Kama budget inafika laki 2 na nusu kupanda consider Gen ya 8 hata kama ni i3.
Kama una utundu kidogo wa Computer huwa sisi wazoefu tunanunua machine za Pentium/i3 around 100-130K ya gen husika then unanunua cpu ya i7 separate na ku upgrade, hapo unapata machine nzuri kwa bei rahisi. i7 hizo za gen ya 3 ama ya 4 haizidi 70K sometime hadi 50K unapata.
Kama una convert hizo movie ama una wateja wanaotaka huduma hizo kuna Gpu za Quadro. Quadro nzuri kama P620, K2200 etc unaweza kuzipata 100K ama chini ya hapo.
FB marketplace mkuu, chukua contact muulize duka lipo wapi mfuate.Chief-mkwawa nimejaribu kupita majimbo yote huko machinga kariakoo ila kila nikigusa ni 380000 Z400 Z800 600000 hakuna chini ya 300000 kabisa HP Zs G4 bei 1750000 bro kwahizo bei ulizo sema naweza kupata wapi au unaweza kunusaidia chief
Mkuu najivunia sana kukusoma humu jukwaani.Unahitaji workstation mkuu,