Nahitaji kufungua saloon Kimara

Nahitaji kufungua saloon Kimara

Herry jr

Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
74
Reaction score
134
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu, nina 1.5m nafikiria kufungua Saloon ya kiume maeneo ya Kimara. Je zipi ni changamoto zake na faida za kufanya biashara ya namna hii.
 
Hiyo hela haitoshi kufungua salon.Viti,fremu,mashine za kunyolea,vioo mikasi.
 
Back
Top Bottom