Naombeni ushauri wenu ndugu zangu, nina 1.5m nafikiria kufungua Saloon ya kiume maeneo ya Kimara. Je zipi ni changamoto zake na faida za kufanya biashara ya namna hii.
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu, nina 1.5m nafikiria kufungua Saloon ya kiume maeneo ya kimara. Je zipi ni changamoto zake na faida za kufanya biashara ya namna hii.