Nahitaji kufunzwa kufungasha maziwa

Nahitaji kufunzwa kufungasha maziwa

Jotu

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2012
Posts
444
Reaction score
311
Wanajamii nawasalimieni. Ninauhitaji mku wa sana wa kujua jinsi ya kufungasha maziwa (packaging). Nipo eneo zuri linalozalisha maziwa lakini soko ni baya. Nikifungasha nadhani nifanya biashara na kuwapatia wafugaji soko.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom