Nahitaji kuhudhuria Jumuiya za kikatoliki Mwenge ratiba zake zipoje

Nahitaji kuhudhuria Jumuiya za kikatoliki Mwenge ratiba zake zipoje

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari wakuu,

Nahitaji kuanza kuhudhuria jumuhiya za kikatoloki Mwenge.

Mimi nasali Kimara kwa sababu zangu binafsi itanibidi nisali Jumuhiya za Mwenge kila Jumamosi. Kwa mwenye uzoefu hizo hizi Jumuhiya za Mwenge ratiba yake ya asubuhi ipoje? Yaani zinaanza saa ngapi na kuisha saa ngapi?
 
Hapo tafuta kanisa Moja mwenge usali siku Moja Kisha utapata muumini hapo atakueleza Kila kitu kuhusu jumuia na ratiba zake. Safi sana kijana kwa kumcha Mungu na kuepuka uovu.
 
Back
Top Bottom