Kwa kuanzia,soma CCNA ni kama foundation course ya Networking,utacheza na simulator sana na scenarios ambazo ni almost kama utakazokutana nazo kwenye field.
hapa chini for free kabisa unaweza soma hiyo kozi,youtube ,jamaa ni one of the best tutor.