Nahitaji kuingia kwenye ngumi nipambane na Mwakinyo na mtu wa kuongea sana Mandonga, nipeni connection

goldcall

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
416
Reaction score
567
Kama nilivyo jieleza hapo juu, nawezaje kuwapata hawa watu? Nimesoma ngumi zao, nikaona hata mimi naweza kumbe!

Nahitaji kuwafumua hawa watu, nipeni connection ya kuingia katika huu mchezo, sitajali vitisho vya Mandonga na Ndoige, Pereso pereso sijui navitu gani.

Mimi nina ngumi moja tu nimeiandaa, hii ngumi inatoka Mbeya, inaitwa Umwana kupasi.

Ujumbe umfikie Mandonga popote alipo, nipo nakuja mbio, maana ya ngumi ni mtoto kadondoshwa chini, ngumi mithili ya bomu la nyuklia.

Nawezaje kupata connection ya [emoji3037] boxing wadau, mimi najua kupiga na kupiga tena?
 
😂😂😂Em itume hapa picha ya hyo ngumi nione.
 
images.jpg

Kila la kheri....
 
Wavizie wakienda club jifanye wamekuchukulia demu wakande vya kutosha then ukiojiwa wambie kama vip tuweke bonanza
 
Kama nilivyo jieleza hapo juu, nawezaje kuwapata hawa watu? Nimesoma ngumi zao, nikaona hata mimi naweza kumbe!

Nahitaji kuwafumua hawa watu, nipeni connection ya kuingia katika huu mchezo, sitajali vitisho vya Mandonga na Ndoige, Pereso pereso sijui navitu gani.

Mimi nina ngumi moja tu nimeiandaa, hii ngumi inatoka Mbeya, inaitwa Umwana kupasi.

Ujumbe umfikie Mandonga popote alipo, nipo nakuja mbio, maana ya ngumi ni mtoto kadondoshwa chini, ngumi mithili ya bomu la nyuklia.

Nawezaje kupata connection ya [emoji3037] boxing wadau, mimi najua kupiga na kupiga tena?
Mkuu watakudunda wewe, shauri yako
 
Back
Top Bottom