Kilimo cha mjini ni Akili yako,sijui wewe unataka kilimo kipi!!?kama shambani tembelea pande za iringa!hapa Jf watu wanalima kwa keyboard tu
NotedKilimo cha mjini ni Akili yako,sijui wewe unataka kilimo kipi!!?kama shambani tembelea pande za iringa!hapa Jf watu wanalima kwa keyboard tu
Sent by Diaspora
😂 watakuja hapa na mabandiko kibao ya kueleza utajiri kupitia kilimo within a year!Kilimo cha mjini ni Akili yako,sijui wewe unataka kilimo kipi!!?kama shambani tembelea pande za iringa!hapa Jf watu wanalima kwa keyboard tu
Sent by Diaspora
Hahahaaa!wanaleta data za watu wasiojulikana[emoji23] [emoji23] wazee wa keyboard noma sana[emoji23] watakuja hapa na mabandiko kibao ya kueleza utajiri kupitia kilimo within a year!
Sasa waulize wao wanalima au hawataki huo utajiri wa shambani!
Mkuu nahtaj wazo la zao linalofanya vzr sokoni either ktk local market or distant one[emoji23] watakuja hapa na mabandiko kibao ya kueleza utajiri kupitia kilimo within a year!
Sasa waulize wao wanalima au hawataki huo utajiri wa shambani!
😂😂utakuta wanaeleza bila kusema huwa kuna ukame, magonjwa na kukosa masoko na njia za kujikinga na hizo chachu za utafutaji kupitia shambaHahahaaa!wanaleta data za watu wasiojulikana[emoji23] [emoji23] wazee wa keyboard noma sana
Sent by Diaspora
Mkuu mimi binafsi nitakushauri uende sokoni kwanza ili ujue mahitaji ya soko yakoje!Mkuu nahtaj wazo la zao linalofanya vzr sokoni either ktk local market or distant one
Sent using Jamii Forums mobile app
Walio wengi wana data za kutosha wakati hawajawahi hata kupanda ukoka nyumbani[emoji23] hata ile miti waliyopewaga shuleni waimwagilie ilishakufaga kitambo[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]utakuta wanaeleza bila kusema huwa kuna ukame, magonjwa na kukosa masoko na njia za kujikinga na hizo chachu za utafutaji kupitia shamba
Mkuu niko songea so far from the city......kuisafirisha itakua extra cost ambayo nitalazimika kuingia lossMkuu mimi binafsi nitakushauri uende sokoni kwanza ili ujue mahitaji ya soko yakoje!
Mfano kwa watu wa dsm wanakula sana mihogo( uswazi na maofisini) maana siku hizi watu hawataki kula chapati na kujaza korie mwilini!
Kama una eneo ambalo liko karibu na mkoa huu wanaokula hii kitu basi tafuta mbegu za muda mfupi( 8 months) unaingiza sokoni!
Bei ni 3/4 pcs kwa 1000/=
Kumbuka kuchukua cuttings ambazo ni salama yakiugua hakuna dawa utakuwa umekula loss kwa hiyo uwe makini kuchagua mbegu!
Ohoo pole mkuu, ulitakiwa useme eneo ulilopo mapemaMkuu niko songea so far from the city......kuisafirisha itakua extra cost ambayo nitalazimika kuingia loss
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa idea yako nzurOhoo pole mkuu, ulitakiwa useme eneo ulilopo mapema
Mkuu mbona unamkatisha tamaa mtoa mada[emoji23] watakuja hapa na mabandiko kibao ya kueleza utajiri kupitia kilimo within a year!
Sasa waulize wao wanalima au hawataki huo utajiri wa shambani!