Nahitaji kujiajiri kwenye kilimo


Mkuu ww unalimia wapi?
 
Kilimo kina lips sana, hapa wilayani Karagwe, mkoa wa Kagera tunalima zao la Chia, tulipata mbegu isiyo zidi kilo 5 miaka minne iliyo pita, lakini kutokana na matokeo mazuri mwaka huu 2018 tumepata kiasi cha 80MT.
Solo tunalo kubwa sana,linazidi uzalishaji, solo lili hitaji walau 250MT lakini hatukufikia uhitaji.
Solo la uhakika lipo, ukihitaji mbegu na maelezo tuwasiliane, ukilima solo lipo, kwa sasa mbegu tunauza Sh 5000 kwa kilo, ssa kazi ni kwako.
Mbegu tunauza kwa being hiyo ili watanzania tulime na kuchangamkia solo hilo.
Baadhi ya nchi zinazo nunua ni USA, Australia, Netherlands n.k.

Sins nia ya kuharibu biashara kwa za watu, uzalendo ndio umenisukuma.
 
Ukipata muda karibu Karagwe mwezi wa 11 & 12 uone Chia ikiwa shambani pia uongee na wakulima, usikie shuhuda kutoka kwao.
Ukihitaji mbegu utaipata kama nilivyo sema Sh 5,000/= kwa kilo.
Sharti ununue kwa lengo la kuzalisha ili tuongeze idadi ya wakulima.
Wasiliana nami 0787452884, nisipo kuwa hewani kwa sababu za mtandao tuna meseji
Naomba ushauri wa zao la kulima lenye tija...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nahitaji mawasiliano kaka nipo Kiwangwa nahitaji soko la nanasi bado kama mwez tuvune
 
Mimi pia ni graduate kutoka SUA mwaka 2018..nna mpango wa kulima vitunguu kule chekereni moshi mwezi ujao.
Gharama ya kukodi ekari moja yenye kisima kwa ajili ya umwagiliaji ni Tsh.300,000/=
Nahitaji mtu mwaminifu ili tushee nae gharama za uzalishaji kwa ekari moja ya vitunguu aina ya Neptune ni roughly 1.5M
 
Jaman hii mihogo mbn nasikia haiuziki
 
Tafuta zao la muda mfupi kama vitunguu, maharage nk tafute shamba karibu na mto ili ufanye kilimo cha umwagiliaji, changamoto kubwa huwa ni mtaji na utalaam, kilimo kinahitaji pesa
 
Unategemea kuanza lini mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…