harryjerry
Member
- Aug 23, 2017
- 34
- 50
Jaman wadau mm nina hitaji msaada wenu ndoto yangu kubwa ni kujua jinsi ya kufunga mziki kwenye magari,ila sijajua ni chuo gani hapa dar es salaam ambacho wanatoa hayo mafunzo,au kama ningeweza hata kukutana na fundi mmojawapo anaejua kufunga miziki nikawa mwanafunzi wake hata kwa kumlipa mm niko tayari naombeni msaada katika hilo wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app