harryjerry
Member
- Aug 23, 2017
- 34
- 50
Fika lumumba pale ndio chuo kikuu cha kufunga miziki ya gari...
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Njia ya kwanza rahisi ya kujifunza kwa Dunia ya Leo ni kutumia Youtube na ukiwa mwepesi kuelewa basi utajua hata mtu asipokuelekeza Lakini Ukijua pia na ukapata mtu anayefanya kwa vitendo basi utaelewa vizuri zaidi Sahivi vitu vingi kwanza the basic knowledge jifunze kupitia Youtube material ni mengi sana Fuatilia Moja ya Link tu Hapa chini kwa kujifunza au kupata mwanga