Nahitaji kujifunza kozi ya ukocha ngazi ya Grassroot

Nahitaji kujifunza kozi ya ukocha ngazi ya Grassroot

Joined
Jan 3, 2024
Posts
26
Reaction score
25
Kama kuna mtu ana taarifa za uwepo wa kozi ya ukocha grassroot level katika mkoa wowote ule kwa siku za usoni hivi karibuni anipe taarifa tafadhari.

Ahsanteni sana.
 
Back
Top Bottom