Nahitaji kujifunza kujua lugha ya kijerumani

Unamjua huyu?


 
Chukua kitabu kwa Infantry Soldier, Duolingo, Download application ya Reverso, na YouTube
 
Dawa yao kuwapiga miti tuuuu!! mpaka walie pooo!! watatoa tu uraia!! kwani si limbwata lipo bana weee vepe tena wale ngozi laini ndo lina shika kabisa kwa Angella makel unatinga tu baba mkuru!!!! km kwako na bintie atafaa sana kumazalisha kama dogi.


hatuogopi wala kutishwa sisi wazeee wa kazi tunaroga hata visivyorogeka
 
Hii Lugha naijua vizuri ila nahitaji kitabu Kama Kuna mtu anaweza nisaidia namwomba

Hongera ndugu kuna kitabu nilisaidiwa na infantry soldiers kilikuwa msaada kubwa kwangu labda umtafuta anaweza kuwa n kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…