ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Habari wakuu na wadau wa safu hii
Nahitaji kujua na kujifunza kushona viatu vya kitamaduni yaani vinavyotumia material ya malighafi zetu
kama vile vitenge, nguo za kimasai nataka kujifunza namna ya kushona viatu, sendozi, mikoba na mitindo
mbalimbali ya asilia kwani napendelea sana mambo ya kitraditional wadau nisaidieni au kama yuko mtu anaweza
kunifundisha basi tuawasiliane kwa PM aniambie anapatikana wapi nami nitaenda huko nami nitatoa ada ya
mafunzo hayo .
Nawatakia siku njema
Chonde chondeUnaishi wapi? mm nipo Dar! naweza kukufundisha vyote hivyo na vingine kwa gharama nafuu, kama upo interest ni PM.
nenda veta
chonde chonde
shadr at el munyah
UsihofuMbona mkuu umeshtuka kuna nini au ni tapeli huyu nambie basi mkuu