Natamani sana kujua kukiongea kiswahili sanifu chenye mtiririko wa maneno. Ombi langu nijue mengi hapa JF. Naomba tuanze na neno timbwili; maana yake nini? Linatumikaje kwenye sentensi?
Hakuna kitu kinanikera ninaposoma sentensi nakuta badala ya r inawekwa l na mbaya zaidi unakutana na msomi kabisa halafu vitu vidogo kama hivyo ameharibu. Mfano kura inaandikwa kula. Hivi shida ni nini