nahitaji kujifunza lugha hizi,kichina na kikibosho....

nahitaji kujifunza lugha hizi,kichina na kikibosho....

maishapopote

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
3,408
Reaction score
6,094
wadau,kulingana na mambo ninayofanya,najikuta nadeal na hawa watu sana,nahitaji kweli na niko serious sana kujua kuongea na kusoma kichina na kikibosho,tafadhali sana niko tayari kulipa hata fees kwa ajili hiyo mwenye kujua namna ya kunisaidia anisaidie please.
 
Back
Top Bottom