kaishi nao,wale jamaa ukiishi nao kwa zaidi ya miezi miwili kama unakichwa chepesi bhasi utajua tuu
Naposema ukaishi nao namaanisha uende eneo ambalo wao ni kama au zaidi ya 70% ya idadi ya watu wa eneo hilo,wale jamaa wana tabia ya kumlazimisha mtu kujua kisukuma maana kwanza wanapenda kuongea kisukuma muda wote na wakiona mgeni ndipo huzidisha ili kumlazimisha na yeye ajue wakisema kuwa ile ni lugha ya taifataifa so wajibu kika mtu aijue,mfano unaweza kumuomba maji anakwambia siku nyingine useme kwa kisukuma na anakuelekeza hapo siku nyingine ukimuomba kwa kiswahili hutopata kitu aisee
Nilikaa Mpanda wilaya ya Nsimbo ambapo kuna vijiji wao ndio dominant aisee nilijikuta nimekijua kwa mwezi na nusu tuu, wakati huo nilikuwa nafanya biashara ya mpunga mwanzo nilipata shida
WASUKUMA ni watu peace sana yan hata mambo ya kupiga wake hayapo kama watu walivyokalilishwa