maruudaniel
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 888
- 1,073
Natafuta chuo kinachofundisha lugha ya Portuguese au Kireno kwa hapa Dar.
Asanteni sana
Asanteni sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comshta AmigoObrigado
Ndo ninampango wa kwenda huko.Nenda Msumbiji mwezi tu utajua
Hii lugha sio kwamba haina dili ni vile watu walizoea Nchi zinazoongea Kingereza ndo zenye dili.Haina dili lugha yenyewe labda uwe umepata mchongo bondia meu amigo,edvir ti isnar preparar so dinhero
Asante MkuCom sta haiunganishwi halafu sto bem au boa tarde au bomndia boa noite
Nataka kwenda Beira kwani kuna mambo nimecheki hapa Bongo yanafanyika na nikiingia Mozambique ninaweza nikayafanya pia kwa ujumla maswala BandariInategemeana na Mozambique ya wapi,hii ya kaskazini tumewalisha kiswahili yote maana imekuwa kama sehemu ya Tanzania,huwezi kushindwa kukutana na watu watatu ingalau mmoja anajua kiswahili
Mku asante sana.Unaongea lugha ambayo haina Masada wowote. Mfano watoto tunaozalia huku inabidi tuwaludishe kwenda kusoma Tanzania na ni rahisi kuja kufanya kazi huku. Lakini aliyesoma huku hana ujanja wa kwenda kufanya kazi popote pale zaidi ya Mozambique na inchi zinazoonge kireno
AsanteBeira kiswahili sio kivile,Kule wabongo hawakujichanga
Kwani hawasomi kiingereza?Unaongea lugha ambayo haina Masada wowote. Mfano watoto tunaozalia huku inabidi tuwaludishe kwenda kusoma Tanzania na ni rahisi kuja kufanya kazi huku. Lakini aliyesoma huku hana ujanja wa kwenda kufanya kazi popote pale zaidi ya Mozambique na inchi zinazoonge kireno
Hapana hii kwangu ina umuhimu MkuUmekosa cha kujifunza shehe