JOEkizyi New Member Joined Sep 11, 2022 Posts 3 Reaction score 33 Dec 29, 2023 #1 Wakuu nahitaji kujifunza saikolojia ni wapi nianzie na vitabu gani nivisome?
Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,611 Reaction score 2,881 Dec 30, 2023 #2 anza na hiki how to win friends and control people, sina uhakika sana na hilo jina ila utagoogle, saikolojia pana sana chagua cha kufocus nacho.
anza na hiki how to win friends and control people, sina uhakika sana na hilo jina ila utagoogle, saikolojia pana sana chagua cha kufocus nacho.
Mimah127 Member Joined Dec 4, 2023 Posts 33 Reaction score 37 Dec 30, 2023 #3 JOEkizyi said: Wakuu nahitaji kujifunza saikolojia ni wapi nianzie na vitabu gani nivisome? Click to expand... Mh unahitaj kujifunza au kuwa specialised na psychology??
JOEkizyi said: Wakuu nahitaji kujifunza saikolojia ni wapi nianzie na vitabu gani nivisome? Click to expand... Mh unahitaj kujifunza au kuwa specialised na psychology??