Nahitaji kujiunga na kikundi cha Uwekezaji etc

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,631
Habari wakuu, Nahitaji Kujiunga na kikundi chochote cha watu wenye malengo ya kufanya savings, kukopeshana, kushauriana, kubadilishana mawazo etc. Niko Dar na nimfanyabiashara. Note that am not interested kwa networking marketing companies na pia nahitaji seriously people nijiunge nao tushare various business ideas etc.. Natanguliza shukrani. PM
 
Hii ni bora ukaanza wewe mwenyewe kwa kuanzisha kikundi, unaunganisha watu wako ,wafanyabiashara wenzako wa karibu mnaoaminiana. Hivyo unavotafuta vilianza kama hivo
 


Karibu kwenye Benki yetu, hutakuwa na haja ya kutafuta vikundi tena, mikopo ni nafuu sana.
 

Umewaza vizuri, tafuta watu wasiopungua 10 waaminifu, kisha muunde kikundi, kikundu chenu mkikisajili mtapatiwa mwalimu wa kuwawaongoza. Mtakopeshana kwa riba nafuu sana, mkopo wa haraka ndani ya saa1, yaani haina stress.

Nimejaribu kuandika kwa kifupi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…