Nahitaji kujua asili ya mpangilio wa kalenda

IKWETE

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
4,057
Reaction score
694
Wakuu,
Mimi ni mmoja wa wale waliosoma Technical School na baadae DIT na baadae elimu ya juu zaidi katika mambo ya Uhasibu.

Sikubahatika kabisa kusoma somo la Geography kwa ngazi ya sekondari maana miaka hiyo Tech school hatukuwa tunasoma Biology, History wala Geography. Hata Physics haikuitwa Physics iliitwa Engineering Science.

Baada ya utangulizi huo sasa naomba msaada, nahitaji kujua Calenda tunayoitumia sasa ilianzaje? Kwa nini kuna miezi 12? Kwanini isiwe miezi16 ndio iwe mwaka? Kwa nini tuna siku 28, 29, 30 na 31 katika mwezi?

Kwa nini mwaka huu tulionao unatofautiana sana na Mwaka wa KIISLAM?

Calenda ya Kiislam imeanzaje anzaje?


 
Kalenda inayotumika sasa inaitwa Gregorian Calender iliyosisiwa na Papa Grogory...Hii Grogorian Calender ni maboresho kidogo yaliyofanywa na Papa Gregory kwenye kalenda ya zamani ujulikanayo kama Julian Calender ambayo ilikuwa imeongezeka siku 11 katika mwaka...
 
mkuu Eiyer tunaomba link kuhusu ulivyochambua kalenda hii
 
Last edited by a moderator:

Kalenda ya Kiislam ilianza kutumika baada ya Mtume kuingia Madina kama sikosei na inaitwa Hijra

Kalenda inayotumika sasa inaitwa Gregorian calender,hii kalenda ilikuwa inaitwa Julian calender,ilibadilishwa kutoka Julian kwenda Gregory kwasababu Papa Gregory ndio alitoa tamko la kuibadili na kuanza kutumika upya kwa namna nyingine ikisahihisha makosa yaliyokuwa kwenye julian Calender



Source: Julian to the Gregorian Calendar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…