Nassor-wiwa
Member
- Mar 6, 2019
- 14
- 2
ahsante sana ndgBoxer power 150
Bei 2,350,000, bima 60,000, kubadili jina 60,000(siku hz wenye maduka ndio wamepewa jukumu hilo kwenda TRA), kwa upande wa Dar wanata ukate kibali cha Sumatra 22,000.
Sikia ukinunua TVS kwa mil 2.2 unapata bima yenye thamani ya mil 5,usajiri kwa jina lako na T-shirt na element mbili" hakika nakwambiahello JF
naomba msaada kwa anayejua bei ya boxer mpya pamoja na gharama nyingine zote kama bima nk.
ahsanteni..