Wakuu,
Nina mpango wa kununua power tila mpya kabisa hivyo naomba msaada kwa wanaojua bei yake.
Nipo Dodoma, inahitajika haraka iwezekanavyo.
Natanguliza shukrani
wakuu,
nina mpango wa kununua power tila mpya kabisa hivyo naomba msaada kwa wanaojua bei yake.
Nipo dodoma, inahitajika haraka iwezekanavyo.
Natanguliza shukrani
ingia kwenye alibaba afu check bei zake mle afu import it simple sana vifaa vya kilimo mara nying pale bandarini ni free au vina exemption fulani bana usiogope nenda tra ulizia kama iyo tracta ndogo ina kodi kiasi gani
Wakuu,
Nina mpango wa kununua power tila mpya kabisa hivyo naomba msaada kwa wanaojua bei yake.
Nipo Dodoma, inahitajika haraka iwezekanavyo.
Natanguliza shukrani
Kama bado hujapata nenda kwenye maonesho ya china kachukue moja nimeona inauzwa milioni tano. Ukihitaji msaada wa kununuliwa na kuletewa mpaka dodoma tafadhali nijulishe.