Okay, ni rahisi na ni 100% free!
Nitaelezea to get started with
Fiverr, maana ndio platform ninayoitumia kwa mda sasa.
1. Utahitaji business or individual acc ya
Payoneer ( nassugest individual). ili uwe approved kuwa eligible kupokea funds. unapojaza registration form, utahitaji uwe na
Bank acc details,
national Id/driving license, email address, and basic details ambazo zinaeleweka na straight forward.
Note: Payoneer ni american financial service company inayowezesha kupokea na kutuma pesa duniani kote, pia inaprovide digital payment services na provide customers with working capital.
Inachukua mda wa siku 2 hadi 7 kuwa approved na payoneer kama wamelidishwa na details zako,
Register kwa hii link kupata $25 kama kuanzia nayo >>>
Payoneer.com/ecom-murrah (This is a unique referal link, utapokea $25 na mimi pia nitapokea kiasi kadhaa endapo utamaliza your registration.. basically it's a win-win situation)
2. Utahitaji ujisajili na
Fiverr.com, ambayo ndio freelancing platform itakayo kuunganisha na clients wako. kuregister ni easy na fast, baada ya hapo utaconnect your Payoneer acc na fiverr. (ukihitaji msaada zaidi, nitakusaidia bure)
Baada ya hapo, ndio utaanza kupublish your gigs (services). Ni easy na straight foward. Kama any other business utahitaji skill set nzuri uweze kupata clients. (Hili ni swala lingne, siwez kulimaliza hapa kulingana na mda)
Kama huna kipaji au skill set yoyote itakayokufanya uuze service yako, basi elewa kuna service nyingi sana ambazo hazihitaji kipaji chochote wala elimu upate clients.
Tutaendelea kuelimishana zaidi, Asante!