Hellow wana JF, hope wazima. Nahitaji kachukua course ya interior designer.
Kwa sasa hivi niko Dar es salaam na ningependelea chuo nikupate Mwanza ila sikijui hata kimoja, lakini kama ntakusa Mwanza hata Dar ntasoma.
Hivyo wapendwa kwa anaekijua a nijulishe ntashukuru.