HenryLugano
Member
- Apr 7, 2015
- 23
- 2
Mada kama inavyojieleza hapo ndugu zangu, naomba mtu mwenye ufahamu wa hili anisaidie
Ebwana shukrani sana ndugu yanguKwa madebe nnayojua mimi debe moja huwa lina kilo ishirini.. So that means kwa madebe kumi ni kilo mia mbili mkuu..
πππJaribu kenya huenda ukabahatisha
Mada kama inavyojieleza hapo ndugu zangu, naomba mtu mwenye ufahamu wa hili anisaidie