Nahitaji kujua kuhusu biashara ya mabegi

max prixc

Member
Joined
May 30, 2022
Posts
10
Reaction score
13
Wakuu nahitaji kuingia kwenye biashara ya mabegi ya mtumba kunawateja wanachukuwa mzigo Tandika mezani kwa bei ya elfu 4 hadi elfu 5.

Naomba kufahamu ni wapi eneo sahihi la kupata mabegi safi ya mtumba, kama pia karume naweza pata mzigo?
 
Ilala

Hata ilala boma Kuna mtaa unafanya kazi ya kunadisha hiyo asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…