Nahitaji Kujua kuhusu CD4

Joined
Aug 6, 2014
Posts
39
Reaction score
3
Nina ndugu yangu mmoja anauguwa ugonjwa huu wa UKIMWI, wiki kama mbili zimepita nilimpeleka kuhudhuria clinic yake.

Tulipofika pale alipewa huduma kama inavyotakiwa lakini katika mazungumzo yao na daktari niliskia akitajiwa Idadi ya CD4 alizokuwa nazo mwili mwake ambapo aliambiwa na CD4 =64.

Sasa ningependa kufahamu, je, hizi CD4, kwanza ni nini? Then huwa nawahesabu vipi na je, kwa kawaida, mtu ambaye haugui UKIMWI huwa na CD4? Pia na mgonjwa wa ukimwi anatakiwa awe na CD4 ngapi mwilini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…