Nahitaji kujua kuhusu madini

Weuss fashion

New Member
Joined
Jun 30, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Wanazengo, nilikuwa naitaji kujua kuhusiana na madini kiundani zaidi. Kama hiyo photo hapo unawezaje kutambua kwa kuyaona au unaweza kutumia njia ipi kuyajua.

Sina uzoefu na madini. Nilikuwa naitaji kujuwa zaidi kuhusiana na madini na pia kupeana elimu ya kutosha juu ya utambuaji wa madini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…