Blandina Vedastus
Member
- Dec 22, 2020
- 26
- 21
Yaa lengo langu ni kuuza mbolea na nmependa super Agro vipi kwa wakulima inafaa? Na soko lipoje wapendwa?
Typing error mkuu , Sorry
Ni kweli best nimeanzisha ukulima WA kwenye containers SASA nimeuliza humu habari za Peatmoss na Perlite hakuna anaenijibu. Mbona nchi za wenzetu wanavyo?. Ila ukianzisha umbea WA nyoka WA Ginimbi utaambiwa Hadi rangi yake.Wataalamu wa kilimo mngechapisha vitabu vya kutoa elimu hii hakika mngepata faida na kusaidia wengi.
Mkuu nakihitaji hicho kitabu kama hautajali nije inbox nikupe namba yangu unitumie WhatsApp.Mwaka 2017, wizara ya kilimo, mifugo na uvuvi. Kitabu chenye jina...
MWONGOZO WA UZALISHAJI MAZAO
KULINGANA NA KANDA ZA KILIMO ZA
KIIKOLOJIA, hard copy na softy copy.
Kitabu kina kilakitu unachohitaji kujua kuhusu kilimo.
Kimeeleza ni mkoa gani, wilaya gani, ulime mazao gani, kwa wakati gani na jinsi ya kuhudumia (mbolea na n.k). Kitabu kitaisha matumizi yake mwaka 2026 then watatoa kingine.
Ninayo PDF ila nimeshindwa ku upload, network zinasumbua, nipo shamba.
Search kupitia Google au tembelea page ya wizara ya kilimo, utapata hiyo pdf.
Sio kila wanacho anzizha wazungu nawe lazima uanzishe Afrika.Mzungu hana ardhi kubwa mwafrika ana ardhi ya kubwa tensNi kweli best nimeanzisha ukulima WA kwenye containers SASA nimeuliza humu habari za Peatmoss na Perlite hakuna anaenijibu. Mbona nchi za wenzetu wanavyo?. Ila ukianzisha umbea WA nyoka WA Ginimbi utaambiwa Hadi rangi yake.