MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Kwa huku Tunduma uagizaji ni mgumu haswa ukitaka mzgo mkubwa ila tunasafirisha saana kwa kutumia maroli na gari za dar mabasiKama kichwa Cha habali hapo juu nahitaji kujua namna ya kuagiza vitenge Toka tunduma kiukweli Sina uzoefu na hii biashara namuna ya kuupata Mzigo mpaka kuufikiaha dar na cost zake nitashukuru.
Niyakucheck mkuuKwa huku Tunduma uagizaji ni mgumu haswa ukitaka mzgo mkubwa ila tunasafirisha saana kwa kutumia maroli na gari za dar mabasi
Kama unataka directions nicheki 0627380556
Wanauzaje hivyo vitenge?Kwa huku Tunduma uagizaji ni mgumu haswa ukitaka mzgo mkubwa ila tunasafirisha saana kwa kutumia maroli na gari za dar mabasi
Kama unataka directions nicheki 0627380556
Mkuu hii biashara uliifanya?Kama kichwa Cha habali hapo juu nahitaji kujua namna ya kuagiza vitenge Toka tunduma kiukweli Sina uzoefu na hii biashara namuna ya kuupata Mzigo mpaka kuufikiaha dar na cost zake nitashukuru.