sasa mbona kapata msg kutoka kwao kuwa kadi ziko tyr n aliniomba picha yangu na mama?means ziko kadi 3 basi.nawaza tu
Nadhani nitakua na kadi yangu, nawashukuru wote kwa inputs zenu, muwe na jion njema.
Hapo atakupa gharama za picha tu,bima analipa mwanao nahisi ni mfanyakazi ambaye anakatwa direct kutoka kwenye mshahara wake kila mweziHizo process zote zilikugharimu bei gani?
Ni bure mkuu.Hizo process zote zilikugharimu bei gani?