Nahitaji kujua siri ya pikipiki aina ya 250 Bajaj au XR

Nahitaji kujua siri ya pikipiki aina ya 250 Bajaj au XR

Mnyaman kauzu

Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
77
Reaction score
56
Napenda nipate ushauri kuusu hiki chombo mana wengi wanakisifia sana lakini sioni matumizi.Pia upatikanaji utunzaji na spea nijue ili nifanyeje maamuzi bila kujutia
Mana naipenda sana lakini sifa zake sija zijua.
Na si vibaya nikawa najua na gharama.
 
Back
Top Bottom