Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Sidhani kama kuna muda maalum, hata mtoto mchanga unaweza kufanya hivyo au unaweza kuamua kusubiri kwa muda uutakao. Ni maamuzi yako Mkuu.
usisahau Nasikia ni lazima ufunge kesi pia!
mkuu unahisi umebambikiwa?umri wa mtoto kwenye upimaji wa dna unatakiwa kuanzia kiasi gani?
Kama unawasiwasi na mwanao nenda kapime blood group yako, ya mtoto na ya mkeo. Hii ni initial stage ya kujua kama group ya damu yako na mtoto vinauhusiano. Kumbuka Genetics ya o'level tu. Mfano mimi ninagroup A+ wife A+, hapa hakuna jinsi watoto lazima wawe group A+. Coz group A ni dominant. Ingawa uwezekano wa kupata group O huwa upo kama genetic make up ni AO, Ambapo kupata grp O ni 25%. Anza na hii donot waste money. Hii hazid 5000tsh/person
Kwa hiyo kama mimi ni O na mwanamke ni A, kwa mtoto itasomaje?Kama unawasiwasi na mwanao nenda kapime blood group yako, ya mtoto na ya mkeo. Hii ni initial stage ya kujua kama group ya damu yako na mtoto vinauhusiano. Kumbuka Genetics ya o'level tu. Mfano mimi ninagroup A+ wife A+, hapa hakuna jinsi watoto lazima wawe group A+. Coz group A ni dominant. Ingawa uwezekano wa kupata group O huwa upo kama genetic make up ni AO, Ambapo kupata grp O ni 25%. Anza na hii donot waste money. Hii hazid 5000tsh/person
umri wa mtoto kwenye upimaji wa dna unatakiwa kuanzia kiasi gani?
Mkuu Raia Fulani Sina mashaka lakini kuhakikisha ni bora usije kulea mtoto sio wako unaletea mtoto wa mwenzako ingawa mimi mke wangu aliza miaka 25 iliyopita sio sasa lakini kwa kipindi hiki unaweza kuwachunguza watoto wako na kujuwa ni yupi sio mtoto wako na yupi ndio mwanao. Na ukijuwa kuwa huyo unayemlea sio mtoto wako sijuwi itakuwaje?duh! Hata wewe mtaalam una mashaka? Angalia chart hapo juu
Mkuu Raia Fulani Sina mashaka lakini kuhakikisha ni bora usije kulea mtoto sio wako unaletea mtoto wa mwenzako ingawa mimi mke wangu aliza miaka 25 iliyopita sio sasa lakini kwa kipindi hiki unaweza kuwachunguza watoto wako na kujuwa ni yupi sio mtoto wako na yupi ndio mwanao. Na ukijuwa kuwa huyo unayemlea sio mtoto wako sijuwi itakuwaje?
Ukijuwa kamasio mtoto wako utamuaje?.@Raia Fulanidah! Ukijua mwana si wako inakuwa balaa. Bora kujua mapema haya masuala