Nahitaji kujua tofauti ya mwezi na mbalamwezi

eazi

New Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Kunatofauti gani kati ya mbalamwezi na mwezi ikiwa ni kimatamshi au kwa nyakati za vipindi nataka kujua...
 
Sina hakika na jibu langu, lakini nadhani Mwezi ni ile nyota yenyewe na mbalamwezi ni ule mwanga wake.
 
Back
Top Bottom