E eazi New Member Joined Aug 21, 2019 Posts 1 Reaction score 0 Aug 21, 2019 #1 Kunatofauti gani kati ya mbalamwezi na mwezi ikiwa ni kimatamshi au kwa nyakati za vipindi nataka kujua...
Kunatofauti gani kati ya mbalamwezi na mwezi ikiwa ni kimatamshi au kwa nyakati za vipindi nataka kujua...
Ebwanandio Member Joined Aug 23, 2019 Posts 49 Reaction score 66 Aug 24, 2019 #2 eazi said: Kunatofauti gani kati ya mbalamwezi na mwezi ikiwa ni kimatamshi au kwa nyakati za vipindi nataka kujua... Click to expand... Sina hakika na jibu langu, lakini nadhani Mwezi ni ile nyota yenyewe na mbalamwezi ni ule mwanga wake.
eazi said: Kunatofauti gani kati ya mbalamwezi na mwezi ikiwa ni kimatamshi au kwa nyakati za vipindi nataka kujua... Click to expand... Sina hakika na jibu langu, lakini nadhani Mwezi ni ile nyota yenyewe na mbalamwezi ni ule mwanga wake.
FatherOfAllSnipers JF-Expert Member Joined Mar 13, 2019 Posts 1,692 Reaction score 4,442 Aug 25, 2019 #3 Ebwanandio said: Sina hakika na jibu langu, lakini nadhani Mwezi ni ile nyota yenyewe na mbalamwezi ni ule mwanga wake. Click to expand... kitu kama hicho mkuu, nadhani darasa la nne B tulifundishwa hilo. Pia mwezi inawe
Ebwanandio said: Sina hakika na jibu langu, lakini nadhani Mwezi ni ile nyota yenyewe na mbalamwezi ni ule mwanga wake. Click to expand... kitu kama hicho mkuu, nadhani darasa la nne B tulifundishwa hilo. Pia mwezi inawe