solution yake ndio hiyo mkuu unavua jiko unaweka jiko jingine tatizo mnao miliki magari mm mnanishangaza sana watu mnaagiza magari ya mpaka milion 50 lkn kuagiza spea za laki 5 au mbili tatu hata milion mnashindwa mwisho wake magari yanakufa na kuozea magereji.mtu anahangaika wee kutafuta spea wakati ukiingia online unakuta bei ya kutupwa sana.
mfano wa engine unakuta gari imesumbua control box au nozel au sensor yoyote ile bongo haipatikani ila ukiagiza unaipata badala ya kuagiza wanashauriana na fundi na kushusha engine na kuweka engine tofauti modification nyingi mwishowe gari linakuwa bovu zaidi