Ni lini hasa huwa Ni muda wa kujaza maombi ya kujiunga na law School of Tanzania.
Nilitaka mwanangu aanze mwezi wa sita mwaka huu lakini nafasi zimeshajaa tayari. Je waliomba lini? Yeye amefanya graduation Desemba 2020, je angeomba lini ili achaguliwe intake ya januari au June 2021?