Nahitaji kujua wasambazaji wa matrekta ya New Holland

Nahitaji kujua wasambazaji wa matrekta ya New Holland

Gulf Streamer

Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
90
Reaction score
40
Good day wandugu,

nahitaji kujua wasambazaji wa matrekta ya New Holland wanaopatikana hapa Dar es salaam.

Thanks.
 
Nenda Ofisi Za Global Publishers Mwenge,uombe Kuonana Na Shigongo Mdogo Wake Anasambaza Aina Zote Za Trekta.
 
Ebu nenda pale SUMA JKT mwenge,upande wa kulia kama unaelekea MBEZI BEACH.
Kama hutapata msaada ebu jaribu NYERERE ROAD,upande wa kulia kama unatokea TAZARA-VINGUNGUTI!!!!
 
Back
Top Bottom