G Gulf Streamer Member Joined Aug 7, 2014 Posts 90 Reaction score 40 Dec 12, 2014 #1 Good day wandugu, nahitaji kujua wasambazaji wa matrekta ya New Holland wanaopatikana hapa Dar es salaam. Thanks.
Good day wandugu, nahitaji kujua wasambazaji wa matrekta ya New Holland wanaopatikana hapa Dar es salaam. Thanks.
wiseboy. JF-Expert Member Joined Aug 11, 2014 Posts 2,932 Reaction score 4,544 Dec 12, 2014 #2 Nenda Ofisi Za Global Publishers Mwenge,uombe Kuonana Na Shigongo Mdogo Wake Anasambaza Aina Zote Za Trekta.
Nenda Ofisi Za Global Publishers Mwenge,uombe Kuonana Na Shigongo Mdogo Wake Anasambaza Aina Zote Za Trekta.
N Nantes JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 544 Reaction score 144 Dec 18, 2014 #3 Gulf Streamer said: Good day wandugu, nahitaji kujua wasambazaji wa matrekta ya New Holland wanaopatikana hapa Dar es salaam. Thanks. Click to expand... una shida ya kitu gani tunaweza kukusaidia
Gulf Streamer said: Good day wandugu, nahitaji kujua wasambazaji wa matrekta ya New Holland wanaopatikana hapa Dar es salaam. Thanks. Click to expand... una shida ya kitu gani tunaweza kukusaidia
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 933 Dec 18, 2014 #4 Ebu nenda pale SUMA JKT mwenge,upande wa kulia kama unaelekea MBEZI BEACH. Kama hutapata msaada ebu jaribu NYERERE ROAD,upande wa kulia kama unatokea TAZARA-VINGUNGUTI!!!!
Ebu nenda pale SUMA JKT mwenge,upande wa kulia kama unaelekea MBEZI BEACH. Kama hutapata msaada ebu jaribu NYERERE ROAD,upande wa kulia kama unatokea TAZARA-VINGUNGUTI!!!!