nahitaji kujua

nahitaji kujua

TihZ

Senior Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
158
Reaction score
26
nikiwa na mwenza wangu faragha wakati wa kudo nikishapiiz mara ya kwanza inachukua kama dakika ishirini ili jogoo asimame tena,je hili ni tatizo na kama si tatizo ni kwanini inakuwa hivyo pia huwa sipendi niwahi kukojoa nifanya nini katika hilo....naombeni msaada wana jf
 
Pole sana ndugu.Ila ni vema ukatambua kuwa kadiri umri unavyozidi kwenda ndivyo na performance inavyokwenda ikipungua.Pia ni normal physiology kwa uume kulala after ejaculation.Achana na story za vijiweni za kusema mtu anaweza kwenda mfululizo hata rounds 3-4 bila uume kulala,wengi wao wanadanganya.Na hata ikitokea akaenda rounds 2 bila kitu kula ni mara moja moja sana.

Cha msingi just take it easy and slowly,wala usihuzunike sana hii ni hali ya kawaida sana kwa wanaume.Believe me,you are perfect,wewe endelea kuenjoy maisha ya ndoa yako ndugu.
 
shukrani ndugu umenifumbua macho sana
 
Back
Top Bottom