Pole sana ndugu.Ila ni vema ukatambua kuwa kadiri umri unavyozidi kwenda ndivyo na performance inavyokwenda ikipungua.Pia ni normal physiology kwa uume kulala after ejaculation.Achana na story za vijiweni za kusema mtu anaweza kwenda mfululizo hata rounds 3-4 bila uume kulala,wengi wao wanadanganya.Na hata ikitokea akaenda rounds 2 bila kitu kula ni mara moja moja sana.
Cha msingi just take it easy and slowly,wala usihuzunike sana hii ni hali ya kawaida sana kwa wanaume.Believe me,you are perfect,wewe endelea kuenjoy maisha ya ndoa yako ndugu.