Murukulazo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 574
- 221
Habari za saa hizi wanajamii wenzangu, naomba kuuliza kama kuna yoyote anayejua zinapopatikana materials za mckenzie,ninachomaanisha zinakotoka coz najua Kariakoo na pale mtaa wa Kitumbini hizi materilas zipo nyingi tu ila ningependa kujua source ni wapi?china or?na kama kuna mtu atakuwa na info zaidi please nahitaji,asanteni...!!