Nahitaji kujuzwa

Optimistic_

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2017
Posts
2,347
Reaction score
1,850
Wakuu kwema?

Wakuu hivi kwanini whatssap yangu hata sms niache ziingie vipi lakini hazizidi 999?

Mfano nikiwasha data zikiingia sms itanijuza unread messages ni 999...nkipiga off data nikija kuwasha tena sms zinaingia lakini bado notifications inaonyesha ni 999...sasa kulikoni ? Au wote ni hivi hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheta katika wimbo wake alisema maseke alfu tisa mia tisa tisini na tisa....... any way we zisome ili zipunguwe make hata zilizid sijuwi kama utapata tuzo point.Pia zikifika 1000 utasema mbona hazizid mkuu jifunze kuridhika kupitia watsap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya Kibongo hayo, mtu anataka kujuzwa vitu vya kijnga havina tija wala maana, HUNA CHA KUUULIZA WATU?
 
Ni msg za magroup au?
Kama hayana maana yafute.


The Hate You Give, Little Infants F's Everyone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…